Kenya Campus Life


It's only in Campus where you can sleep at anytime, wake up at anytime. Eat at anytime. Have sex anytime you want. Have time to watch football, time to play games. Kulewa wakati unataka. Free WiFi. Uneza soma wakati unataka alafu kama hutaki kufanya mtihani unaachana nayo. Basically you are a CEO. Unafika uku njee mashida zinakuamsha 4.30am like nonsense. Unajaribu kuwa Dj ata mabeshte zako hawataki kusikia mixxes zako. Unajaribu usanii msee anakusanya guitar🎸😂 . Alafu ngoma zako zina hit to kwa single room yako pekee. Unajoin dance group unaanguka unavunjika kiuono. Unaachana na dancing juu unaona ukikosa familia. Unamua unajiita meeting una discus life yako pekee. Unaandika CV, mungu anakuonekania unaitwa interview wanakuuliza kama uko na experience na content ya 12 years. Na hio wakati experience yenye uko nayo ni kutingisha kikombe ya KEG alafu Content ni 40% ya alcohol. Unaenda interviews kadhaa unaangukia job. Pale job wewe ndiye unatumika kama duster. Actually unatumika kama doormat.😂😂😂😂
Salary ikiingia, NHIF na NSSF wanakunyorosha. Helb na tu'loans wanakukata. Safaricom wanakufyeka like nonsense. Alafu unanyongwa na Landlord, mama mboga, TV, stima, maziwa etc. Unabaki na 600 pekee. Unainvest pale Sportpesa wanakuchinja kabisaa.
After miezi kadhaa ya mateso unaamua kuwa PASTOR unaanza kula sadaka kwa amaaani ukiombea watu hawana shida yoyote na😂😂😂😂

Comments

Popular posts from this blog

The Kenyatta Family Wealth Structure.

BORANA PEOPLE: THE LARGEST OROMO PASTORALIST AND KIND PEOPLE OF EAST AFRICA

The Eye Opener For Isiolo Legal Notice No. 150.